Mafunzo ya kuogelea na uokoaji yanayotolewa na KSP Kwa mtu Moja mmoja pia Taasisi za serikali za binafsi ndani ya Nchi na Nje ya Nchi. www.Kimimba-swimming.Co.tz Whatsapp +255714287207
Read More
Kimimba swimming Promotions Limited, tunaungana na watanzania wote kwenye majonzi haya ya msiba mzito na pigo kubwa kitaifa, kwa pamoja tuna mtakia mpendwa wetu apumzike kwa amani.
Read More
Training on lifesaving skills at Mbudya Island on 17/7/2020​ The training was coordinated by Marine Parks and facilitated by Kimimba Swimming Promotions.
Read More
Kikosi cha wachezaji wa Tanzania kilicho Fanya maajabu Nchini Rwanda chini ya kocha Feliki Kalengela
Read More
Dr Beatrice Mkunde meneja wa KSP akitoa maelekezo jinsi ya kusubiri msaada baada ya kuzamaa majini
Read More
Mafunzo ya uokoaji ni muhimu Sana kwani idadi kubwa wanakufa kwa kukosa msaada
Read More
Mkurugezi wa KSP Mr Geofey Kimimba wakiwa na katibu mkuu wa chama cha kuogelea wa zamani walipokuwa Nchini Spain katika mashindano ya kuogelea ya Dunia Kutembelea moja ya viwaja vikubwa vya mpira wa miguu
Read More
Baadhi ya viongozi wa bara la Africa wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuingia kwenye mkutano wa Dunia wa chama cha kuogelea uliofanyika Spain. Tanzania iliwakilishwa na Mr. Noel Kiunsi na Mr. Geofrey Kimimba
Read More
Agnes Kimimba mtoto wa mkurugezi wa KSP Ndugu Geofrey Kimimba akiwa katika baadhi ya mashindano aliyowahi kufanya vizuri na kujizolea medali nyingi za kitaifa katika mchezo wa kuogelea
Read More
Kikosi cha timu ya taifa ya kuogelea kikiwa chini ya kocha mahiri Alex Mwaipasi pia na baadhi ya wachezaji Ito Sakura, Agnes Kimimba na wengine wengi
Read More
Mkurugenzi wa KSP akitoa nasaha kwa timu ya taifa ya kuogelea mbele ya mgeni rasmi kutoka Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, ambaye kwa sasa ni mkuu wa chuo cha michezo Marya.
Read More
Makocha kutoka Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufunga mafunzo hayo na kupata certificates zao
Read More
Mama Ragina Mbilinyi, mwenyekiti wa chama cha mabaria wanawake Afrika mashariki na kusini mwa Afrika, pia Captain Mwakibuje toka chuo cha mabaria DMI wakiwa kwenye picha ya pamoja na wakinamama waliohudhuria mafunzo ya Usalama wa maji Kuogelea, Uokoaji, Jinsi ya kusubiri msaada majini wakati ajali inapotokea, Mafunzo hayo yalifanyika Navy beach
Read More
Moja ya mashidano yalitisha yalidhaminiwa na vodacom KSP ikiwa chini ya TMS, ilifanya vizuri kwa mcheza wake Agnes Kimimba kuvuja rekodi ya butterfly na kuwa mchezaji chipukizi wa mwaka chini ya ushindani mkali wa wachezaji wengi akiwemo mchezaji Wakimataifa Sonia Tomioto. Kwa upande wa kiume Pia KSP iliweza Kunga'ara baada kijana Patrick Kimimba alitwaa nafasi ya uchezaji chipukizi kwa upande wa kiume
Read More
Baadhi ya wachezaji wa timu ya taifa ya kuogelea iliyowakisha Nchi katika mashindano ya kuogelea Nchini Uganda. KSP ikitoa mchango mkubwa kwa kutoa wachezaji wengi akiwemo Erick Mrima alitikisa jiji la Kampala kwa kujizolea medali za dhahabu sita wengine ni Philipo Sigareti, Agnes Kimimba na Patrick Kimimba
Read More
Eng. Rehana akiwa na Mrs. Geofrey Kimimba (mke wa mkurugenzi wa KSP) wakisimamia mafunzo ya wakinamama chini ya udhamini wa Sanlam Asurence
Read More
Baadhi ya wanasemina wakifanya mazoezi chini ya usimamizi wa walimu mahiri Mr Hamimu Mtenga, Omary Kibabi, Ally Twaha na wengineo
Read More
Mama Stella Seleki na Mwalimu Omary Kibabi wakitoa maelekezo kwa wanasemina katikati ya mji ikiwa ni moja mafunzo ya uokoaji
Read More
Jumla ya wa shiriki 23 walipatiwa mafunzo hayo baadhi ya walimu walioshiriki katika mafunzo hayo ni pamoja na Mr. Mosess Mtemelwa mwalimu wa kimataifa pia Agnes Kimimba mwalimu anafundisha shule ya kimataifa Fedha. Mafunzo hayo yalifundishwa kwa welendi wa hali ya juu
Read More
Mafuzo ya uokoaji yaliyoendeshwa na K.S.P katika kisiwa cha Mbudya chini udhamini wa Marine park yaliyofanyika kwa Siku mbili 16 Jul- 17 Jul 2020.
Read More(+255)71-428-7207
(+255)71-428-7207
Kigamboni District, Vijibweni Ward, Dar es Salaam Tz.
info@kimimba-swimming.co.tz
mail@kimimba-swimming.co.tz
Mon - Fri: 11.00 - 18.00
Sat - Sun: 08.00 - 20.00